LEARN CODING IN SWAHILI-FOR BEGINNERS
jifunze kutengeneza website kwa lugha ya kiswahili-HTML
1.00 (1 reviews)

24
students
1.5 hours
content
Jun 2024
last update
FREE
regular price
What you will learn
Wanafunzi watapata uelewa wa kina wa jinsi HTML, CSS, na JavaScript vinavyofanya kazi pamoja kuunda Websites zenye ubora na za kuvutia
Wanafunzi watajifunza jinsi ya kutumia ReactJS, mfumo maarufu wa JavaScript, kubuni na kutekeleza programu za websites zenye utendaji bora na za kisasa.
Baada ya kozi hii, wanafunzi watakuwa na ujuzi wa kutumia mfumo wa udhibiti wa toleo kama Git kusimamia kanuni zao na kurahisisha ushirikiano katika kucode.
Wanafunzi watapata ujuzi wa kutumia zana za kisasa kama Vite kwa maendeleo ya haraka, na kisha kujifunza jinsi ya kuweka tovuti zao hewani bila kulipia.
Screenshots




5769092
udemy ID
1/17/2024
course created date
2/16/2024
course indexed date
Bot
course submited by